MADHARA AMBAYO UTAWEZA KUYAPATA KWA KUNYONYA SEHEMU ZA SIRI
Kutokana na kukua kwa teknolojia kunyonya sehemu za siri kumekua jambo la kawaida leo Dr msua nitazungumzia madhara ambayo unaweza kuyapata kwa kufanya hivyo.
Yapo madhara ambayo unaweza kuyapata kwa muda mmfupi na kuna madhara ambayo unaweza kuyapata baada ya muda
Magonjwa ambayo unaweza kuyapata ni yafuatayo:
1.HPV hawa ni virusi ambao husababisha kansa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kansa ya koo,kansa ya shingo kizazi ,kansa ya uume,kwa kufanya hivyo hurahisisha kuambukizwa virusi hivyo aina ya HPV.
2.Kisonono na kaswende:Kwa hali ya kawaida magonjwa haya hua ni ya sehem za siri tu lakini kwa kunyonya sehemu za siri waweza sababisha kuhamisha wadudu wasabishao magonjwa hayo
3.Magonjwa ambayo pia yaweza kuambukizwa kwa kunyonya sehemu za siri ni kama:1.VVU
2.Virusi vya homa ya ini
3.Klamidia
0 coment�rios: