Jinsi ya mwanamke kupata mimba kwa haraka
1.Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days.2.Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yaina ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe. Ni rahisi kutumia.3.Fanya tendo la ndoa kabla ya kuenguayai (kabla ya ovulation), huongeza uwezekano wa kushika mimba kuliko kusubiria ovulation au kufanya baada ya ovulation. Kutaneni siku mbili au tatu kabla ya ovulation. Ukitumia ovulation test kit, mkutane kuanzia siku itakapokuwa positive kwani huwainapredict ovulation kutokea 48 hrs after it tests positive.4.Usitegemee njia ya kalenda kutabiri uenguaji yai, njia hii kwa kiasi fulani huweza kuwasaidia wale wenye mzunguko wa siku 28, lakini pia haina uhakika wa 100%, wengi wa wanawakehawaengui yai siku ya 14 ya mzunguko wa hedhi, kwa hiyo kutegemea kalenda kutakuchelewesha kupata ujauzito.5.Unapotaka kushika mimba, acha au punguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya pombe, sigara au dawa za kulevya.6.Unapotaka kupata mimba, tendo la ndoa liwe kitu 'enjoyable' na sio tendo 'mechanical' kwa ajili ya kutafuta mtoto. Plan a romantic evening or try something different to spice things up. How you are feeling sexually may increase your chances of getting pregnancy. For women a better orgasm may help pull the sperms into the uterus and for men a better orgasm may increase their sperm count.7.Kufanya mapenzi katika mtindo (style)ambayo itafanya mbegu za kiume zikae kwa muda mrefu ukeni na hivyo nyingi kupanda kuingia kwenye kizazi na kwenda kurutubisha yai. 'missionary position' ni nzuri zaidi, ambapo mwanaume anakuwa juu, epuka positions za mwanamke kuwa juu kwani hufanya mbegu zimwagike kwa gravity. Jaribu pia kuweka mto chini ya kiuno ili kukiinua na kufanya mbegu ziingie ndani kwa urahisi zaidi.Kumbuka kuna asilimia 10 - 25 ya couples ambazo zina matatizo ya infertility lakini vipimo havionyeshi tatizo, inaweza kuwa namna ya kufanya mapenzi ndio ikawa shida, jaribu njia hizo 7 juu.
Nilipambana na ugumba hadi nilipokata tamaa, lakini kupitia rafiki yangu mzuri nilikutana na Dkt. Dawn. Hata nilipokuwa na umri wa miaka 40, nilipata mimba wiki 3 tu baada ya kufuata maagizo yake. Nilijifungua salama na kupata mimba tena baada ya mwaka 1 na miezi 8—ilikuwa muujiza kweli!
ReplyDeletePia nimempendekeza Dkt. Dawn kwa wengine, na matokeo yamekuwa yakifanikiwa kila wakati. Ikiwa unapambana na ugumba, matatizo ya uhusiano, magonjwa, au matatizo yoyote ya kiroho, nampendekeza sana Dkt. Dawn kwa suluhisho la kudumu.
📞 WhatsApp: +2349046229159
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com