Saturday, 20 January 2018

Pole sana James McCarthy.

Mchezaji wa Everton ameumia vibaya alipokumbana na mchezaji wa West Brom Rondon katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza mechi iliyomalizika kwa sare ya goli 1-1. Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi juu ya jeraha hilo lakini kwa mtazamo wa haraka hawezi kucheza tena katika msimu huu wa 2017/18.

0 coment�rios: