Watford wamfuta kazi kocha wao
Klabu ya Watford imemfuta kazi kocha wake Mkuu Mreno Marco Alexandre Saraiva da Silva kufuatia Matokeo mabaya ambayo klabu hiyo imekuwa ikiyapata.
Watford Jana walikubali kipigo cha magoli 2-0 kutoka kwa Leicester City ikiwa ni kipigo chao cha 10 katika michezo 15 ya ligi kuu Uingereza ya mwisho wameshinda michezo 3 na kupata sare 2 .Credit #GeorgeAmbangile
0 coment�rios: