Friday, 23 March 2018

Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania PLC, Ibrahim Kaude (katikati) akimkabidhi kiungo Mkongo wa Yanga SC, Papy Kabamba Tshitshimbi tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara kwa mwezi Februari mwaka huu sambamba na fedha taslimu Sh. Milioni 1 na kisimbusi cha Azam TV, kutoka kwa wadhamini wengine wa Ligi Kuu, Azam TV

0 coment�rios: