Thursday, 1 March 2018

FAIDA 48 ZA JUISI YA TANGAWIZI AMBAZO ULIKUWA HUZIJUWI

1. Huondoa sumu mwilini haraka sana 2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini hata salmonella ndani ya mwili hata juu ya ngozi 3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya asili viwili kwenye tangawizi 4. Huondoa uvimbe mwilini 5. Huondoa msongamano mapafuni 6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa na mayai yake 7. Huondoa maumivu ya koo 8. Huua virusi wa homa 9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini 10. Huondoa homa hata homa ya baridi (chills) 11. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni chakula cha seli za kansa ya tezi dume kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya. 12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol” 13. Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu (constipation-r elated cancer) 14. Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia) 15. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya mapafu (lung cancer) 16. Huzuia kujizalisha kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria huyu ndiye husababisha vidonda vya tumbo mwilini, pia hutibu kiungulia, na kanza mbalimbali za tumbo 17. Ni msaada sana katika kuzuia na kutibu kansa ya titi 18. Hutibu kanza za kwenye kizazi na kanza za kwenye mirija ya uzazi 19. Huongeza msukumo wa damu 20. Husaidia kuzuia shambulio la moyo 21. Huzuia damu kuganda 22. Hushusha kolesto 23. Husafisha damu 24. Husaidia watu wenye kukakamaa kwa mishipa 25. Hutibu shinikizo la juu la damu 26. Husafisha utumbo mpana 27. Hupunguza mishtuko kwenye utumbo mpana na tumbo kuunguruma 28. Huondoa GESI TUMBONI KIRAHISI ZAIDI 29. Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula 30. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu 31. Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe na kichefuchefu 32. Husaidia kuondoa maumivu kutokana na mkao mmoja wa mrefu ama kusimama au kukaa 33. Husaidia uzalishwaji wa juisi vimeng’enya kwa ajili ya kumeng’enya chakula 34. Husaidia kuzuia kuharisha 35. Husaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu 36. Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto 37. Hutibu homa ya kichwa 38. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi 39. Hutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito 40. Husaidia kupunguza homa ya baridi yabisi (helps reduce inflammation of arthritis) 41. Huimarisha afya ya figo 42. Husaidia kupunguza uchovu unaotokana na matibabu yaliyopita ya mionzi 43. Ina madini ya potassium ya kutosha 44. Ina madini ya manganese ambayo ni mhimu katika kuuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita 45. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’ ambacho chenyewe kazi yake hasa ni kuongeza afya ya ngozi, nywele, meno na kucha 46. Husaidia umeng’enywaji wa madini ya calcium 47. Pia ina vitamini A, C, E, B-complex, chuma, zinki , magnesium, phosphorus, sodium, calcium, na beta-carotene 48. Hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mikojo hupita BLEND KAMA UNAVYO TENGENEZA JUICE YA KAWAIDA KISHA KUNYWA GLASS MOJA KWA SIKU. AU UNAWEZA KUJENGA MAZOEA YA KUTAFUNA VIPANDE KADHAA KILA SIKU ASUBUHI KABLA HUJALA KITU

0 coment�rios: