Friday, 23 March 2018

Kauli ya Haji Manara baada ya stars kufungwa 4 kwa 1

Afisa Habari wa Simba, Haji Manara, ametoa maoni yake baada ya Taifa Stars kufungwa mabao 4-1 dhidi ya Algeria katika mchezo uliokuwa wa kirafiki. Manara amesema ifikie hatua sasa kuwa na mjadala wa kitaifa kuangalia namna gani tatizo la Stars kutofanya vizuri linaweza likatibika, sababu kila aina ya makocha wameshaifundisha timu hiyo. Haji ameandika kwa ufupi kupitia ukurasa wake wa Instagram

0 coment�rios: