Monday, 5 March 2018

TATIZO LA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE NA MWANAUME

Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi. DALILI ZAKE Kwa mwanaume atakapokuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana. Pia mwanaume hatakuwa na uwezo mzuri wa kusimamisha. Ni vigumu kumpa mimba mwanamke. Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:- ●Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi ●Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa ●Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika ●Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi ●Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi. ●Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi. ●Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke. ●Kuchukia kushiriki tendo la ndoa ●Kupata uvimbe kwenye kizazi ●Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi MADHARA KWA MWANAMKE ●vigumu kupata mimba Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa ●Kuingia na kutoka kwa mimba ●Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni ●Kuwa na uke mkavu kuliko kawaida MADHARA KWA MWANAUME ●Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba, Kiwango kinachozalishwa cha mbegu ni kidogo mno ●Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa ●Kusimama na kusinyaa kwa uume/uume legelege Tiba ya Chango la Uzazi Ni vizuri sana kumweleza tabibu wako dalili zote unavyojisikia. Mara nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la uzazi hutibiwa na miti shamba. Dawa inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi. Matumizi yake kawaida mtu ataitumia kulingana na ukubwa wa tatizo lake.

0 coment�rios: