Yanga wamepewa Welayta Dicha play off kombe la shirikisho
YANGA itamenyana na Welayta Dicha ya Ethiopia katika mchezo wa mchujo wa kuwania kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.
RATIBA KAMILI
Zanaco v Raja Casablanca
AS Vita v CS La Mancha Brazaville Kongo
St George v CARA Brazzaville (DRC)
El Hilal v Akwa United
SuperSport United v Gor Mahia
Al-Hilal Al-Ubayyid v UD Songo
USM Alger v Plateau United
Enyimba v Bidvest Wits
Aduana Stars v Fosa Juniors
Young Africans v Welayta Dicha
Génération Foot v RS Berkane
CF Mounana v Al-Masry
ASEC Mimosas v CR Belouizdad
Williamsville AC v Deportivo Niefang
MFM v Djoliba
Rayon Sports v Costa do Sol
0 coment�rios: