
Hatimaye mbenini wa Yanga ametua Dar kumalizana na Yanga
-Mshambuliaji wa kimataifa wa Benin, Marcelin Koukpo mwenye umri wa miaka 23 ametua tayari Tanzania jana usiku na kupokelewa na Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Yanga, Dismas Ten.
-Koukpo ambaye alikuwa mchezaji wa timu ya Les Buffles Fc du Borgou ya Benin amemalizana kila kitu na klabu ya Yanga atasaini mkataba wa miaka miwili na atapewa jezi namba 11 iliyoachwa na Donald Ngoma.

0 coment�rios: