Wednesday, 27 September 2017

MAMBO SITA AMBAYO MWANAMKE AKIWA NAYO NI VIGUMU KUSHIKA UJAUZITO

Leo msua clinic nitazungumzia dalili kuu sita ambazo ni viashiria vya mwanamke kua mgumba au anaelekea kwenye ugumba 1.KUPATA HEDHI INAYOBADILIKA BADILIKA usione ni kawaida kwa siku zako kutokua na mzunguko wa kawaida ambao mara nyingi ni siku 21 mpaka 35.kwa sababu hedhi inayobadilika badilika huashiria kua haupevushi mayai kila mwezi.hali hii inatakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa sababu ili uweze kushika ujauzito unahitaji kupevusha yai kila mwezi. 2.KUACHA KUONA SKU ZAKO GHAFLA Kama hujafikia menopause ,au sio mjamzito na hutumiii dawa zinasosababisha kubadilika kwa hedhi..ukiona hedhi zako zimekata ghafla maana ake ni kwamba haupevushi mayai . 3.KUTOKWA DAMU NYINGI WAKATI WA HEDHI.. 4.MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA 5.KUOTA VINYWELEO VISIVYO VYA KAWAIDA USONI 6.KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA

0 coment�rios: