Zari amchunia Diamond
Zari amkaushia Diamond Platnumz siku yake ya kuzaliwa na kufuta picha za Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Hadi leo, Zari the Boss Lady hajamtakia heri ya kuzaliwa baba watoto wake Diamond Platnumz ambea siku ya juzi alikuwa akiazimisha siku yake hiyo ya kuzaliwa.
Hali ya uhusiano baina ya wawili hao imezidi kutiliwashaka na mashabiki baada Zari kuanza kufuta picha za Diamond na kufuta jina la Diamond kwenye akaunti za watoto wao.
0 coment�rios: