CECAFA zawakutanish kilimanjarp stars na Zanzibar heroes uso kwa uso
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' na ile ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes' zimepangwa kundi moja la michuano ya Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA.
Kilimanjaro Stars pamoja na Zanzibar Heroes watakutana na timu za Kenya, Libya na Rwanda katika kundi A, katika michuano inayotarajiwa kuanza Disemba 3 hadi 17 Mwaka huu nchini Kenya.
Kundi A.
Kenya.
Libya.
Rwanda.
Tanzania.
Zanzibar.
Kundi B.
Uganda.
Zimbambwe.
Burundi.
Ethiopia.
South Sudan.
Ikumbukwe bingwa mtetezi wa michuano hiyo ni Uganda ambaye alichukua taji hilo mwaka 2015 ambapo ndiyo ilikuwa Mara ya mwisho Kwa michuano hiyo kufanyika.
Tanzania CECAFA Senior Challenge Cup Kilimanjaro Stars Zanzibar
0 coment�rios: