Ni kweli Laudit ana namba yang,?
Man City wameshinda mechi 10 katika mechi 11 za EPL msimu huu, wamefunga magoli 38 mpaka sasa, huku wakiwa na rekodi ya kushinda mechi 15 mfululizo katika mashindano yote.
Jumamosi hii wanakutana na mtihani mzito kidogo, wanaelekea Kings Power kuumana na ‘Rejuvenated’ Leicester City, ambao msimu uliopita katika uwanja huu waliwatandika City 4-2.
Leicester ambao walianza ligi vibaya, sasa wamekaa vyema chini ya kocha mpya Claude Puel, wakiwa wamecheza mechi 6 bila kupoteza.
0 coment�rios: