Friday, 24 November 2017

Oscar Pistorius aongezwa miaka 13 jela

Mahakama ya Rufaa nchini Afrika Kusini mtandao wa mo dewji blog news umeripoti kuwa imeongeza muda wa kifungo cha mwanariadha Oscar Pistorius
kutoka miaka sita hadi miaka 13 na miezi mitano kwa kosa ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.

0 coment�rios: