Robinho Jela miaka 9 kwa kesi ya ubakaji! :
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid mbrazil Robinho amehukumiwa kwenda jela kwa miaka 9 baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya ubakaji aliomfanyia mwanamke wa KiAlbania jijini Milan mwaka 2013.
.
Kwa mujibu wa mtandao wa Football Italia, tukio hilo lilitokea mnamo January 22, 2013, wakati Mbrazil huyo alipokuwa akiitumikia AC Mila. Kwenye kesi hiyo kuna wanaume wengine watano wamekutwa na hatia.
0 coment�rios: