Tetesi za usajili kule Msimbazi
Laudit Mavugo out Simba Sc
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Simba Sc Laudit Mavugo huenda akatemwa katika kikosi cha Simba sc na kupelekwa kwa mkopo katika klabu ya moja ya kenya gormahia na taarifa zinasema nafsi ya Mavugo itachukuliwa na mchezaji wa
RYON SPORTS raia wa Rwanda Gazeti moja la michezo hapa Tanzania limemtaja mchezaji huyo kuwa ni shasir nahima
0 coment�rios: