Thursday, 21 December 2017

Msichana nchini kenya ajiua kisa kapata C kwenye mtihani wa kdt cha nne

Msichana mmoja nchini Kenya ameamua kujiua baada ya kupata alama ya ‘C’ katika matokeo yake ya mtihani wa kidato cha nne. Mwaka 2016 alifanya mtihani akapata 'C' na hata aliporudia katika shule nyingine bado alipata alama hiyo hiyo C ndipo akaamua kujiua kwani hakuridhika na matokeo hayo.Credit #Breakingnewskiswahili

0 coment�rios: