Kiungo wa Real Madrid Luka Modric huenda akakosa mchezo dhidi ya Paris Saint-Germain Machi 6 baada ya Kuumia nyama za nyuma ya paja kocha Zinedine Zidane amethibitisha ilo.
Modric raia wa Croatia amekosa mazoezi ya leo Jumanne na hatokuwepo katika mchezo wa ligi kuu Nchini Hispania Laliga jumatano hii dhidi ya Leganes.
Kocha Zidane ana matumaini kuwa jeraha lake ni dogo lakini hajui ni kwa muda gani atakuwa nje ya dimba.
"Modric anatatizo la nyama za nyuma ya paja " alisema katika mkutano na waandishi wa habari .
"Mara zote nina imani na waajiriwa wa hapa, wataalamu wa saikolojia na madaktari hivyo atarudi kujiunga nasi haraka. Sifikirii kama ni hatari sana."
Taarifa hizi za majeruji zinakuja ambapo Madrid inakumbukumbu ya ushindi wa 3-1 dhidi ya PSG katika mchezo wa kwanza wa klabu bingwa ya ligi ya mabingwa barani ulaya wiki iliyopita.
Real Madrid pia wamearifu kuwa
Toni Kroos naye amepata majeraha katika goti lake na Marcelo ambaye aliumia katika mchezo wa ushindi wa 5-3 siku ya Jumapili dhidi ya Real Betis na inaelezwa kuwa uenda akawa na tatizo la maumivu ya Nyama za nyuma ya paja.
Zidane ana matumaini kuwa wachezaji wote watatuh uenda wakarejea katika mchezo wa Marejeano dhidi ya PSG pale Parc des Princes.Credit #UlimwenguwasokaTz
Modric shakani kuivaa PSG.

0 coment�rios: