Wednesday, 28 February 2018

Tetesi za Kocha wa Yanga kujiunga na Zesco utd

Tetesi zinazovuma kule Zambia kwa Sasa ni kocha mkuu wa Yanga SC George Lwandamina kurejea kuifundisha Klabu yake ya Zamani Zesco United. Pia ataenda na Kocha Msaidizi ambae pia yupo Yanga Noel Mwandila. Mkataba wa Yanga SC na Lwandamina unamalizika mwisho wa Msimu huu.

0 coment�rios: