Dondoo za Michezo usiku huu
Tuanzie kule Msimbazi mshambuliaji wa timu ya Simba Sc Juma Luizio kuna uwezekano mkubwa sana wa kutoendelea kuitumikia klabu hiyo katika dirisha dogo la usajili na huenda akavunja mkataba wake na Simba Sc na kutimukia katika klabu ya Singida United
Tuelekee mitaa ya jangwani baada ya sintofahamu kuwa kocha wa Yanga mzambia George Lwandamina yupo mbioni kuitosa klabu hiyo na kwenda kujiunga na klabu ya zesco yeye amesema bado yupo na ataendelea kuwepo yanga sc
Twende kule mwandui complex taarifa zinasema kuwa winga wa kushoto Hassan Kabunda huenda akatimukia katika klabu ya waoka mikate Azam fc Kabunda kabakisha mda wa miezi sita tu wa kuitumikia Mwadui Fc
Tuitimishe usiku wa leo kwa kuelekea kule Mbeya katika klabu ya Tanzania Prisons taarifa zinasema kuwa klabu ya yanga ipo hatua za mwisho mwishoni kumnasa Mohamed Rashind

0 coment�rios: