Wednesday, 15 November 2017

Madai ya kakolanya dhidi ya yanga

"Hakuna sababu yoyote ya sisi kumnyima mshahara wake, kwani wangapi wanadai. Inabidi avute tu subira, tutamlipa mambo yakikaa sawa" - Mkwasa akizungumzia madai ya Beno Kakolanya ambaye anaidai klabu ya Yanga. #SportsExtra #CloudsFM

0 coment�rios: