Msikie kocha Julio kuhusu kapombe
Maulid baraka wa Kitenge napenda niwe kama rahisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh John pombe Magufuli kutumbua majipu
Kipindi hichi kwenye mpira tukikaa kimya hatuwezi kupata usawa na ukweli kutokana na mambo jinsi yalivyo
Simba wamevuna walicho panda Simba watavuna walicho panda wakati Simba wakiwa wanacheza ligi msimu ulio pita mm nilipanda bahati ya kuwa mmoja wa wachezaji wa zamani au kocha wa zamani wa Simba kuzuunguka na Simba kuwajenga wachezaji kisaikoloji nafikiri matunda yalionekana hata Mavugo uwezo upo chini lakini nilijaribu kukaa naye na Mavugo akaanza kufunga
Kuna watu mpira hawajui ndo wanaivurunga Simba kuna watu wanao hama wanahamia ndani kwenda kufanya uchunguzi lakini mpira hawajui
Nawataja bila uonga wowote mmoja wapo ni Mohamed mkiloma kwa sababu tu ya hela alizonazo anaonekana ana nguvu kweli Simba lakini mpira hajui aking'ang'ania mtu wake ndo huyo huyo kwa sababu Simba ni ya watu wote
Kocha wanamuingilia kwenye kazi yake kapombe mm nimemuona sitaki kuwa mnafiki alikuwa mgonjwa nikakwambia huyo wa muache labda hadi mwakani
Bwaji Deo
0 coment�rios: