Wednesday, 15 November 2017

Tetesi za usajili Tanzania

Klabu ya yanga sc ipo tiyari kuachana na washambilizi wao hatari Hamisi tambwe na Ngoma sababu kuu ni kutokana na kuandamwa na majeruhi ya mda mrefu Klabu ya Azam fc ipo mbioni kuongeza makali katika kikosi chake inadaiwa imeanza kuwakuzia baadhi ya wachezaji kutoka nchi mbalimbali pia kuna uwezekano mkubwa Azam fc kunasa saini ya mchezaji wa Simba sc japo imekuwa ngumu kumuweka wazi mchezaji huyo Mchezaji wa Simba sc Mohamed Ibrahim Mo hayupo tiyari kusalia katika klabu ya Simba Sc endapo hatapewa nafasi ya kudumu ya kucheza katika kikosi cha Simba atangalia mstakabadhi mwingine aondeke au abaki Azam fc pamoja na klabu ya yanga wapo tiyari kuketi na klabu ya Simba Sc katika msimu huu wa dirisha dogo la usajili kuangalia uwezekano wa kumyakuwa Nicholas Gyan Klabu ya Simba Sc inatazamia kumuuza Said Hamisi Ndemla iwapo kama klabu Yeyote ile itafika dau

0 coment�rios: