Shirikisho la Soka Afrika limetaja waamuzi kutoka Afrika Kusini kuchezesha Mchezo kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Al Masry Club ya Misri Mchezo utakaopigwa March 7,2018 Katika Uwanja wa Taifa DSM Saa 16.00 jioni.
Mwamuzi wa kati atakuwa Thando Helpus Ndzandzeka Akisaidiwa na Mwamuzi Msaidizi namba moja Zakhele Thusi Siwena Huku Mwamuzi Msaidizi namba mbili Akiwa ni Athenkosi Ndongeni,Mwamuzi wa Akiba ni Christopher Harrison na Kamishina wa Mchezo huo ni Tuccu Guish Chrbremedhin kutoka Eritrea.
Mchezo wa Marudiano utapigwa huko Port Said,Misri March 17,2018 na kuchezeshwa na waamuzi kutoka Eritrea.
Mwamuzi wa kati atakuwa Yonas Zakarias Ghentre Huku Mwamuzi Msaidizi namba moja Akiwa ni Angesom Ogbamarian,Mwamuzi Msaidizi namba mbili ni Yohannes Tewelde Ghebreslase wakati Mwamuzi wa akiba atakuwa ni Yemane Asfaha Gebremedhin na Kamishina wa Mechi hiyo atatoka Libya Gamal Selem Embaia.
Simba SC imefuzu hatua hii baada ya kuipa kipigo Gendarmerie FC ya Djibouti kwa jumla ya Magoli 5-0,Huku Al Masry Club ikifuzu hatua hii baada ya kushinda jumla ya Magoli 4-2 dhidi ya Green Buffaloes ya Zambia.
WASAUZI KUAMUA DAR,WA'ERITREA KUAMUA CAIRO.

0 coment�rios: